Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mjumbe wa AMREF, Tanzania anazungumzia fungamano za haki za binadamu na mahusiano ya kijinsia

Mjumbe wa AMREF, Tanzania anazungumzia fungamano za haki za binadamu na mahusiano ya kijinsia

Katika wiki ambapo jumuiya ya kimataifa ilikuwa ikiadhimisha miaka 60 ya Azimio la Mwito wa Kimataifa juu ya Haki za Bnadamu, Shirika la Udhibiti wa Idadi ya Watu (UNFPA) liliitisha jopo maalumu, mjini New York kwenye Makao Makuu ya UM, kuzingatia fungamano kati ya haki za binadamu na mahusiano ya kijinsia.

Msaidizi wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya UM, Nuba Elamin, alipata fursa ya kumhoji Edna Matasha, mjumbe wa Tanzania kwenye semina ya UNFPA, iliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Chumba Nambari 7.

Kwa mahojiano kamili sikiliza idhaa ya mtandao.