Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kikao cha Nne juu ya Miji Tulivu Duniani chafunguliwa rasmi Nanjing

Kikao cha Nne juu ya Miji Tulivu Duniani chafunguliwa rasmi Nanjing

Mji wa Nanjing, uliopo mashariki katika Jamhuri ya Umma wa Uchina wiki hii utakuwa mwenyeji kwa wajumbe kadha wa kimataifa watakaohudhuria Kikao cha Nne cha Warsha wa Kuzingatia Huduma za Miji Bora Duniani.