Mkutano wa kudhibiti miji bora wahitimisha mijadala Nanjing, Uchina

Mkutano wa kudhibiti miji bora wahitimisha mijadala Nanjing, Uchina

Mkutano wa Nne uliofanyika kwenye mji wa Nanjing, Uchina kuzingatia huduma za miji bora duniani umekamilisha mijadala yake Alkhamisi, tarehe 06 Novemb. Kikao kilianza Ijumatatu, tarehe 03 Novemba na kuendelea hadi Alkhamisi ya leo.