FAO inaashiria mavuno ya kutosha ya nafaka mwaka huu

FAO inaashiria mavuno ya kutosha ya nafaka mwaka huu

Kwenye ripoti ya Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) kuhusu hali ya chakula duniani, taarifa ambayo hutolewa mara mbili kwa mwaka, ilibainisha uzalishaji wa nafaka kimataifa ulivunja rikodi mwaka huu.