Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

KM atoa mwito hatua za dharura zichukuliwe kukomesha mzozo wa JKK

KM atoa mwito hatua za dharura zichukuliwe kukomesha mzozo wa JKK

Mapigano mapya yamezuka tena karibu na mji wa Goma katika eneo la Kibati katika kipindi ambapo mkutano wa dharura kuzingatia amani ya eneo unafanyika mjini Nairobi, Kenya, mkutano ulioandaliwa na Umoja wa Afrika na kuungwa mkono kikamilifu na Umoja wa Mataifa.