Mukhtasari wa Mkutano wa IV juu ya Miji Bora Duniani
Ripoti ifuatayo itakupatieni fafanuzi za Anna Tibaijuka, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la UM juu ya Makazi (UN-HABITAT) kuhusu mkutano uliofanyika Nanjing, Uchina kuzingatia makazi bora.~~
Sikiliza ripoti kamili kwenye idhaa ya mtandao.