10 Novemba 2008
Mauaji ya raia yaliofanywa na waasi wiki iliopita, kwenye mji wa Kiwanja, uliopo sehemu za mashariki, katika JKK ni tukio ambalo Mjumbe Maalumu wa KM kwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Alan Doss amelifananisha na “makosa makubwa ya jinai ya vita”.