Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mashirika ya kimataifa yanakhofia hatari ya kuibuka kipindupindu katika Goma

Mashirika ya kimataifa yanakhofia hatari ya kuibuka kipindupindu katika Goma

Kadhalika, mashirika ya kimataifa yenye kuhudumia misaada ya kiutu kwenye eneo la uhasama, ikijumlisha Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) yametahadharisha ugonjwa wa kipindipindu huenda ukaenea, kwa kasi kubwa, dhidi ya afya ya raia, kwenye yale maeneo ya mapigano yaliopo karibu na mji wa Goma.