Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

MONUC imeripoti mapigano mapya yamezuka katika eneo la Ngungu

MONUC imeripoti mapigano mapya yamezuka katika eneo la Ngungu

Shirika la UM juu ya Ulinzi wa Amani katika JKK (MONUC) limeripoti kufunguka mapigano mapya kwenye uwanja wa mapambano karibu na eneo la Ngungu, kilomita 60 (maili 37) magharibi ya mji wa Goma.