Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNRWA itasimamisha misaada ya chakula Ghaza pindi vikwazo vitaendelezwa dhidi ya umma

UNRWA itasimamisha misaada ya chakula Ghaza pindi vikwazo vitaendelezwa dhidi ya umma

Israel inaripotiwa imeamua kufungua kile kituo kinachotumiwa na yale malori ya kugawa nishati, katika eneo liliokaliwa kimabavu la Tarafa ya Ghaza. Uamuzi huo umeruhusu ugavi wa mafuta ya dizeli kwa kinu pekee cha taa katika Tarafa ya Ghaza, siki moja tu baada ya kiwanda hicho kiliposimamisha shughuli zake kwa sababu ya ukosefu wa nishati.