Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inahadharisha kuzuka maradhi hatari ya kuambukiza katika JKK

WHO inahadharisha kuzuka maradhi hatari ya kuambukiza katika JKK

Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa upande wake nalo pia limearifu kuingiwa na wahka mkuu juu ya hali ya afya, hususan kwa wale wahamiaji waliolazimika kuhajiri makwao na kujikuta kwenye kambi za makazi ya muda ambapo mazingira ya usafi yamekosekana na kuna hatari ya kufumka tena kwa maradhi ya kuambukiza.

WHO ina wasiwasi mkubwa juu ya ongezeko la hatari ya kufumka kwa janga la kipindupindu katika eneo la mashariki la JKK, hasa ilivyokuwa tangu mwanzo wa Oktoba iligunduliwa watu 1000 waliambukizwa na ugonjwa huo, na tunakhofia haya ni matokeo yasiodhihirika ya ukosefu wa usalama.” Alisema WHO imeanza kununua madawa ya kutibu kipindupindu kutoka maeneo jirani na JKK na kugawa bidhaa hizo miongoni mwa washiriki wenzi na wenye madaraka wa kienyeji ili wahudumie bora raia husika.

Vile vile