Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM unazingatia kupeleka vikosi ziada katika JKK, asema Le roy

UM unazingatia kupeleka vikosi ziada katika JKK, asema Le roy

Naibu KM juu ya Operesheni za Kulinda Amani za UM, Alain Le Roy Ijumanne magharibi, baada ya kuripoti mbele ya Baraza la Usalama juu ya ziara yake katika JKK, aliwadhihirishia waandishi habari wa kimataifa, ya kwamba jumuiya ya kimataifa inazingatia rai ya kupeleka wanajeshi ziada ili kuimarisha hifadhi inayofaa kwa waathiriwa raia wanaoteseka, katika eneo la mashariki la JKK:~