Skip to main content

MONUC imeripoti mapigano yamefifia katika JKK

MONUC imeripoti mapigano yamefifia katika JKK

Shirika la UM juu ya Operesheni za Ulinzi wa Amani katika JKK (MONUC) limeripoti mapigano yameanza kufifia katika eneo la mashariki la JKK, na kwa wakati huo huo inakhofiwa hali ya umma walionaswa kwenye eneo la uhasama bado inaendelea kuwa ya wasiwasi.