Jumuiya ya kimataifa inainasihi Israel kuregeza vikwazo Ghaza
Jumuiya ya kimataifa inaendelea kuiomba Israel kuregeza vile vikwazo dhidi ya misaada ya kiuchumi na kiutu, vilivyowekewa umma uliozingiwa katika Tarafa ya Ghaza, eneo ambalo lipo chini ya uangalizi wa mabavu wa Israel.