Skip to main content

Mukhtasari wa shughuli katika Baraza Kuu

Mukhtasari wa shughuli katika Baraza Kuu

Baraza Kuu, hii leo, kwenye mjadala wa wawakilishi wote, linafanya mapitio kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Mkutano wa Kimataifa wa 2002 juu ya Ugharamiaji wa Mipango ya Maendeleo, na pia kuzingatia ripoti ya Kamati ya Pili ya Baraza Kuu juu ya matayarisho ya Mkutano wa Mapitio wa 2008 kuhusu Misaada ya Maendeleo.