Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO imeanzisha mradi wa takwimu kinga dhidi ya chakula kilichosibikiwa

WHO imeanzisha mradi wa takwimu kinga dhidi ya chakula kilichosibikiwa

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeanzisha Mradi Mpya wa Kufanya Makadirio Halisi ya Kusailia Athari za Kimataifa zinazoletwa na Chakula Kilichosibikiwa.