Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inashirikiana na Wizara ya Afya Zimbabwe kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu

WHO inashirikiana na Wizara ya Afya Zimbabwe kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu

Shirika la Afya Duniani (WHO) linalishughulikia tatizo hili la afya na inajaribu kushirikiana na Serikali ya Zimbabwe kudhibiti maradhi ya kipindupindu yasisambae zaidi nje ya nchi, kama anavyoeleza Paul Garwood, msemaji wa WHO:~