Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM utaisaidia Zimbabwe na mataifa jirani kudhibiti kipindupindu

UM utaisaidia Zimbabwe na mataifa jirani kudhibiti kipindupindu

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imetangaza takwimu mpya juu ya kufumka kwa maradhi ya kipindupindu nchini Zimbabwe.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti leo ya kuwa watoto waliobalighi, na vijana waliopatwa na virusi vya UKIMWI, wanakabiliwa na hatari ya kuwaambukiza wenziwao wanaojamiana nawo kwa sababu ya kushindwa kupata tiba ya mapema.