Skip to main content

Baraza la Haki za Binadamu Geneva lazingatia hali Kivu Kasakazini

Baraza la Haki za Binadamu Geneva lazingatia hali Kivu Kasakazini

Baraza la UM juu ya Haki za Binadamu leo limeitisha Kikao Maalumu, cha dharura, kwenye ukumbi wa Kasri la Kimataifa mjini Geneva, kuzingatia haki za binadamu kwenye lile eneo la vurugu la mashariki, katika JKK.