Skip to main content

WHO inaomba maoni ya umma kukomesha madhara ya matumizi ya pombe

WHO inaomba maoni ya umma kukomesha madhara ya matumizi ya pombe

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kwamba kila mwaka watu milioni mbili hufariki duniani kwa sababu ya matatizo yanayohusiana na matumizi ya pombe na ulevi.