Mpango wa Utendaji wa Almaty unazingatiwa kwa siku ya pili kwenye BK

3 Oktoba 2008

Majadiliano ya Vyeo vya Juu kuhusu Mpango wa Utendaji wa Almaty, wa kuyasaidia mataifa yasio bandari kukuza uchumi wao, yameingia siku ya pili leo hii katika Baraza Kuu la UM

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter