Facebook Twitter Print Email
Majadiliano ya Vyeo vya Juu kuhusu Mpango wa Utendaji wa Almaty, wa kuyasaidia mataifa yasio bandari kukuza uchumi wao, yameingia siku ya pili leo hii katika Baraza Kuu la UM