KM afurahishwa sana kuzawadiwa M. Ahtisaari Tunzo ya Amani ya Nobel kwa 2008
KM ametoa taarifa maalumu yenye furaha kuu baada ya kutambua kwamba Marti Ahtisaari wa Finland, aliyekuwa mtumishi wa UM kwa miaka mingi, alitunukiwa Tunzo ya Amani ya Nobel kwa 2008.