Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO inahadharisha kuripuka maradhi yasiojulikana Afrika Kusini

WHO inahadharisha kuripuka maradhi yasiojulikana Afrika Kusini

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa linaendeleza uchunguzi wa maradhi yasiojulikana yaliozuka karibuni Afrika Kusini, na kuua watu watatu katika mji wa Johannesburg, ikijumlisha mtaalamu mgeni alietembelea Zambia na baadaye kurejea Afrika Kusini, pamoja na mtumishi wa uwakala wa usafiri na muuguzi mmoja. Fadéla Chaib, msemaji wa WHO, ana maelezo zaidi: