Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania atathminia kikao cha 63 cha Baraza Kuu la UM

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania atathminia kikao cha 63 cha Baraza Kuu la UM

Taarifa ya wiki hii inazingatia tathmini ya Waziri wa Mambo ya ~na Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, juu ya kikao cha 63 cha Baraza Kuu la UM. ~~

Baada ya kikao cha 63 cha Baraza Kuu kumaliza mijadala ya wawakilishi wote, Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya UM ilipata fursa ya kumhoji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe kuhusu kikao hicho.

Sikiliza sehemu ya kwanza ya mahojiano na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania kwenye idhaa ya mtandao.