Tofauti za matunzo ya afya ulimwenguni zimekithiri hadi, kwa mujibu wa ripoti ya mwaka ya WHO
Ripoti [ya mwaka] kuhusu Hali ya Afya Ulimwenguni kwa 2008 iliwasilishwa rasmi Ijumanne na Shirika la Afya Duniani (WHO) kutokea mji wa Almaty, Kazakhstan.