Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM unaadhimisha "Siku ya Kimataifa Kutokomeza Umaskini"

UM unaadhimisha "Siku ya Kimataifa Kutokomeza Umaskini"

Viongozi kadha wa UM na mashirika yake wametoa taarifa mbalimbali siku ya leo zenye kuhimiza jamii ya kimataifa kuongeza mchango wa misaada ya kuwavua watu bilioni 1.4 na hali iliokata tamaa ya kimaisha, umma ambao wanaishi kwenye ufukara mkubwa sana, uliokiuka mipaka, katika sehemu mbalimbali za dunia.