Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNDP imetangaza ripoti mpya juu ya ufufuaji wa uchumi kufuatia mapigano

UNDP imetangaza ripoti mpya juu ya ufufuaji wa uchumi kufuatia mapigano

Shirika la UM juu ya Miradi ya Maendeleo (UNDP) leo limewasilisha ripoti mpya inayozingatia shughuli za ufufuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii katika yale mataifa yanayoibuka kutoka mazingira ya uhasama na mapigano.