Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya Chakula Duniani inahishimiwa rasmi Makao Makuu

Siku ya Chakula Duniani inahishimiwa rasmi Makao Makuu

Makao Mkuu ya UM yatafanyisha tafrija maalumu Alkhamisi ya leo kuadhimisha ‘Siku ya Chakula Duniani’ – ambayo husherehekewa rasmi kimataifa Oktoba 16.