Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM imeripoti milioni 1.7 wamerejea Sudan Kusini

IOM imeripoti milioni 1.7 wamerejea Sudan Kusini

Shirika la Kimataifa kuhusu Wahamaji (IOM) limeripoti kwamba wahamiaji wa ndani milioni 1.7 wamefanikiwa kurejeshwa makwao, kwa khiyari katika Sudan Kusini kufuatia utiaji sahihi wa yale Mapatano ya Jumla ya Amani yaliokamilishwa mnamo mwezi Januari 2005. ~ ~