Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO imetangaza tafiti mpya juu ya hali ya afya duniani

WHO imetangaza tafiti mpya juu ya hali ya afya duniani

Shirika la Afya Duniani (WHO) leo limechapisha makadiro mapya juu ya usumbufu wa mzigo wa maradhi duniani, uchunguzi ambao utawasaidia wanaobuni sera za kitaifa kuandaa mipango bora kuimarisha afya kwenye maeneo yao.

Sikiliza habari kamili kwenye idhaa ya mtandao.