Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Athari za vikwazo, kiakili, dhidi ya wakazi Ghaza, zajadiliwa na wataalamu wa kimataifa

Athari za vikwazo, kiakili, dhidi ya wakazi Ghaza, zajadiliwa na wataalamu wa kimataifa

Mradi juu ya Maradhi ya Akili kwa Jamii ya Wafalastina Waliokaliwa Kimabavu katika Ghaza leo imekamilisha mkutano wa kimataifa wa siku mbili kuhusu utimamu wa akili kwa umma unaoishi kwenye Tarafa ya Ghaza, hususan baada ya vikwazo vilivyolazimishwa dhidi yao tangu mwezi Juni 2007.