Mamilioni ya raia Iraq wakabiliwa na mifumko ya maradhi kutokana na maji machafu: ICRC

Mamilioni ya raia Iraq wakabiliwa na mifumko ya maradhi kutokana na maji machafu: ICRC

Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (ICRTC) imetangaza taarifa yenye kuonya na kutahadharisha kwamba upungufu wa huduma za afya, ukosefu wa usafi na pia uhaba wa maji safi ya kunywa katika Iraq ni mambo yanayohatarisha maisha ya mamilioni ya raia ambao wanakabiliwa na hatari ya kuvamiwa na maradhi yanayosawijisha umma, kijumla.~