Shughuli za katika BK na BU
Kwenye majadiliano ya wawakilishi wote katika Baraza Kuu (BK), yaliofanyika asubuhi ya leo, kulijadiliwa mada inayoambatana na wajibu wa kukomesha vikwazo vya kiuchumi, kifedha na kibiashara vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba.