Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ripoti ya KM inasema kutoaminiana kunazorotisha amani Sudan kati ya Kaskazini na Kusini

Ripoti ya KM inasema kutoaminiana kunazorotisha amani Sudan kati ya Kaskazini na Kusini

Ripoti mpya ya KM kwa Sudan iliotumiwa Baraza la Usalama kuzingatiwa mwezi ujao, ilitahadharisha kuwepo mzoroto katika utekelezaji wa Mapatano Kamili ya Amani ya 2005 yaliofikiwa kati ya Sudan Kaskazini na Kusini, yaani Mapatano ya CPA.