Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwakilishi wa NGO hana imani na kauli ya waasi katika JKK

Mwakilishi wa NGO hana imani na kauli ya waasi katika JKK

Mfanyakazi wa Redio ya UM Geneva, Alpha Diallo, alipata fursa ya kumhoji Kubuya Muhangi, Mkuu wa moja ya shirika la kizalendo lisio la kiserekali, lilio mwanachama wa Umoja wa Mashirika ya Utetezi wa Kongo, ambapo alimuuliza maoni yake kuhusu tangazo la upande mmoja la kusitisha mapigano Goma, liliotolewa na kiongozi wa waasi, Jenerali Mtoro Laurent Nkunda:

Sikiliza maelezo kamili kwenye idhaa ya mtandao.