Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP inajiandaa kuhudumia waathiriwa wa vurugu Goma utulivu utakaporejea

WFP inajiandaa kuhudumia waathiriwa wa vurugu Goma utulivu utakaporejea

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeshindwa kupeleka shehena ya chakula katika eno la Goma kuwahudumia umma muhitaji uliojikuta umenaswa kwenye vurugu. Hata hivyo, ofisi ya WFP Uganda imetayarisha tani 500 za chakula za kugawa kwa wale wahamiaji wanaomiminikia kutoka taifa jirani la JKK.~