Skip to main content

KM na Mkuu wa ESCAP wawasilisha rasmi ripoti ya MDGs kwa 2008

KM na Mkuu wa ESCAP wawasilisha rasmi ripoti ya MDGs kwa 2008

Ijumatano (10/09/2008) ilitangazwa KM Ban Ki-moon atawakilisha kwenye Mako Makuu Ripoti ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia kwa 2008.