Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkariri wa UM asema watu milioni 100 ziada wamepigwa ufukara kutokana na mgogoro wa chakula

Mkariri wa UM asema watu milioni 100 ziada wamepigwa ufukara kutokana na mgogoro wa chakula

Mkariri Maalumu wa UM juu ya Haki za Mwanadamu Kupata Chakula, Olivier De Shutter, Ijumatano alihutubia kikao cha 9 cha Baraza la Haki za Binadamu mjini Geneva ambapo alisema mzozo wa karibuni wa kupanda kwa bei za chakula ulimwenguni umesababisha watu milioni 100 kuzama na kuzamishwa kwenye mazingira ya ufukara na hali duni katika sehemu kadha wa kadha za kimataifa.

Sikiliza maelezo kamili kwenye idhaa ya mtandao.