Marekibisho ya sheria za biashara ulimwenguni yamefaulu kupita kiasi, kudai Benki Kuu ya Dunia
Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) likijumuika na Benki Kuu ya Dunia yamewakilisha ripoti ya pamoja kuhusu \'Shughuli za Biashara Ulimwenguni kwa 2009\'.