12 Septemba 2008
KM Ban Ki-moon amearifu kuyapokea, kwa dhati, na furaha kuu maafikiano kati ya Serikali ya Zimbabwe na kundi la upinzani, kuunda serikali ya muungano na kugawana madaraka nchini.