Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maendeleo mazuri yameshuhudiwa kudhibiti malaria: WHO

Maendeleo mazuri yameshuhudiwa kudhibiti malaria: WHO

Shirika la Afya Duniani (WHO) limewasilisha ripoti yenye kuzingatia maendeleo kwenye harakati za kupiga vita malaria, yenye mada isemayo Ripoti ya malaria duniani kwa 2008.