Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasafiri wa Olimpiki wametayarishiwa miongozo ya kulinda afya na WHO

Wasafiri wa Olimpiki wametayarishiwa miongozo ya kulinda afya na WHO

Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha kitabu maalumu cha kuwaongoza wasafiri wanaohudhuria Mashindano ya Olimpiki ya Beijing juu ya namna ya kujikinga kiafya na kupata hifadhi bora dhidi ya maradhi yanayotokana na chakula na mazingira.~