Zimbabwe yahitajia msaada wa chakula - IFRC

Zimbabwe yahitajia msaada wa chakula - IFRC

Jumuiya ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu/Hilali Nyekundu (IFRC) imetoa ombi maalumu la kutaka ifadhiliwe misaada ya dharura kuhudumia chakula umma unaokabiliwa na njaa nchini Zimbabwe, na pia hiriwa wa mafuriko kwenye mataifa ya Moldova na Ukraine.