Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahojiano na mwanaharakati anayepambana na UKIMWI kutoka Kenya

Mahojiano na mwanaharakati anayepambana na UKIMWI kutoka Kenya

Hivi karibuni kulifanyika kikao maalumu kwenye Makao Makuu mjini New York kuzingatia masuala ya UKIMWI. Miongoni mwa wajumbe waliopata fursa ya kuhudhuria kikao hiki, kutokea Afrika Kusini, alikuwemo mwalimu wa skuli ya praimari katika Kenya, Jemima Nindo.

Sikiliza mahojiano kamili katika idhaa ya mtandao.