Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM unaendeleza huduma za kunusuru maisha Darfur

UM unaendeleza huduma za kunusuru maisha Darfur

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imeripoti huduma za kunusuru maisha bado zinaendelezwa kwenye sehemu za Darfur ambazo mashirika yanayohudumia shughuli hizo yanaruhusiwa kuzifikia.