Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wajumbe wa Georgia na Urusi wabadilishana shtumu juu ya machafuko ya Ossetia Kusini

Wajumbe wa Georgia na Urusi wabadilishana shtumu juu ya machafuko ya Ossetia Kusini

Wawakilishi wa Georgia na Urusi walipohudhuria Mkutano wa Kupunguza Silaha Duniani Geneva Alkhamisi wameripotiwa kubadilishana lawama na fedheha kwamba vitendo vyao Ossetia Kusini vilikiuka sheria ya kimataifa dhidi ya raia wakati wa mapigano yao ya karibuni.