Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Eneo la mvutano la Rasi Bakassi limekabidhiwa rasmi Cameroon na Nigeria

Eneo la mvutano la Rasi Bakassi limekabidhiwa rasmi Cameroon na Nigeria

Serikali ya Nigeria Alkhamisi imekabidhi rasmi Cameroon madaraka ya eneo la mvutano mipakani la Rasi ya Bakassi, liliopo Ghuba ya Guinea na kuukhitimisha mgogoro ulioyafunika mataifa haya mawili ya Afrika Magharibi kwa wa miaka 15, eneo ambalo linaaaminika lina utajiri mkubwa wa petroli na gesi.

Katika mahojiano aliokuwa nayo Mkuu wa Idhaa ya Kiingereza ya Redio ya UM, Diane Bailey na Sammy Buo, Mkurugenzi wa Kitengo juu ya Masuala ya Afrika katika Idara ya UM juu ya Masuala ya Kisiasa (DPA)walizungumza kuhusu historia ya mzozo huo na mafanikio yaliojiri ya kuukhitimisha kwa taratibu za amani bila ya vurugua.

Sikiliza taarifa kamili kwenye idhaa ya mtandao.