Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uwezo wa kuimarisha kwa mafukra wa ulimwengu unazingatiwa na IAEA

Uwezo wa kuimarisha kwa mafukra wa ulimwengu unazingatiwa na IAEA

Mkutano wa kiufundi wa Shirika la UM juu ya Matumizi ya Amani ya Nishati ya Kinyuklia (IAEA) uliofanyika wiki hii Vienna umetathminia miradi mipya ya kuimarisha lishe miongoni mwa mamilioni ya watu masikini na mafukara duniani.