Kambi za wahamiaji kufungwa Afrika Kusini

Kambi za wahamiaji kufungwa Afrika Kusini

Kambi sita zilizotumiwa kama makazi ya muda kwa wahamiaji karibu 6,000 Afrika Kusini, kufuatia machafuko dhidi ya wageni mnamo mwezi Mei, mastakimu haya yalitarajiwa kufungwa hii leo tarehe 15 Agosti.